Mashabiki wengi walimlaki na kumshangilia mshambuliaji huyo raia wa Liberia.
"Nashukuru nimefika salama,nafurahi kuwa hapa tena.Yanga imekuwa ni Nyumbani kwangu,nimefurahishwa mno na mapokezi niliyoyapata najiona mwenye deni kwa mashabiki wa Yanga!nimejiandaa kikamilifu kuipigania klabu Yangu. . "Alisema Kpah Sean Sherman.
habari na NAIPENDA YANGA