Wednesday, 1 July 2015

DAVIDO NA DIAMOND TENA JUKWAA MOJA LA MTV MAMA





davido jana amethibitisha kuwa hawezi kusubiri na ana hamu ya kuona wanaimba jukwaa moja na diamond platinumz siku ya utoaji tuzo za mtv yeye diamond ameendelea kusisitiza kwa watanzania na africa kwa ujumla kumpigia kura ili aweze kuibuka kidedea tena 







No comments:

Post a Comment