Thursday, 18 December 2014

TUMBILI KAMFUKUZA MWIZI!!!???




baada ya jaji werema kujiudhuru nyadhifa ya mwanansheria mkuu wa serikali watanzania wameanza kujiuliza ni nani kati yao anaitwa  'TUMBILI' na je tumbili mnyama mdogo vile anawezaje kumfukuza mwizi akakimbia .... maneno hayo yanakuja baada ya jaji Fredrick werema kumuit tumbili mh. KAFULILA  kwasababu mh. KAFULILA alimuita jaji fedrick werema mwizi hawezi kuendelea kuwa mwanansheria mkuu wa serikali...je tumbili kamfukuza mwizi!!!???





            

Wednesday, 17 December 2014

katuni ya siku


UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NA VIJIJI

serikali imetangaza matokeo ya uchaguzi wa srikali za mitaa na vijiji.jumla ya vijiji 9,047 na mitaa 3,078 vilifanyika uchaguzi kwa mafanikio ambapo CCM imeongoza katika uchaguzi huo baada ya kupata vijiji 7290 sawa na 80.58%  na mitaa 2116 sawa na 68.7%. chama kikuu cha upizani CHADEMA kimefuata kwa kupata vijiji 1248 sawa na 13% na mitaa 753 sawa na 24.5%.CUF 382 Vijiji na mitaa 335   . NCCR MAGEUZI mitaa 8 kijiji 0.   ACT chama kipya mitaa 9 vijiji 0.    TLP  mitaa 1 na vijiji 2.    UDP vijiji 4.
    mikoa ambayo uchaguzi umefanyika bila matatizo ya aina yoyote yale ni pamoja na arusha,lindi,mtwara ,Ruvuma ,Dodoma ,katavi ,kagera ,mbeya , singida na njombe.
mnenguaji wa bendi tofauti tofauti hapa jijini dar es salaam amefariki dunia na mwili wake umekutwa umehifadhiwa katika hospitali ya mwananyamala.akizungumzia kifo hicho meneja wa bendi ya twanga pepeta Asha Baraka amesema na yeye hajui nini kimetokea baada ya jana kuwasiliana naye vizuri na wala hakuonekana kuwa na tatizo lolote alipewa taarifa na daktari mmoja wapo wa hospitali ya mwananyamala ambaye alisema ameuona mwili kama wa Aisha madinda ukiingizwa mochwari ndipo alipomtuma luiza mbutu(mnenguaji mwenzie na Aisha madinda) akahakikishe wameuona mwili na wanajiandaa muendelezo wa mazishi. alazwe mahali pema peponi AISHA MADINDA  tasnia itammiss kwa alikua bora kabisa Enzi za uhai wake
Aisha madinda katika picha Enzi za uhai wake.

Monday, 8 December 2014

YOUR WELCOME




nina furaha kuwa karibisha katika blog yunu hii mpya watu wa aina zote

wanafunzi wa vyuo na vijana kama itawahusu sana ninapenda kutumia nafasi hii pia kukaribisha maoni na  ushauri wenu ili kuwa na kitu kizuri ambacho kitakua jukwaa letu vijana wote



                         WE'RE VERY GLAD YOU'RE HERE!!!!!!