Aisha madinda katika picha Enzi za uhai wake.
Wednesday, 17 December 2014
mnenguaji wa bendi tofauti tofauti hapa jijini dar es salaam amefariki dunia na mwili wake umekutwa umehifadhiwa katika hospitali ya mwananyamala.akizungumzia kifo hicho meneja wa bendi ya twanga pepeta Asha Baraka amesema na yeye hajui nini kimetokea baada ya jana kuwasiliana naye vizuri na wala hakuonekana kuwa na tatizo lolote alipewa taarifa na daktari mmoja wapo wa hospitali ya mwananyamala ambaye alisema ameuona mwili kama wa Aisha madinda ukiingizwa mochwari ndipo alipomtuma luiza mbutu(mnenguaji mwenzie na Aisha madinda) akahakikishe wameuona mwili na wanajiandaa muendelezo wa mazishi. alazwe mahali pema peponi AISHA MADINDA tasnia itammiss kwa alikua bora kabisa Enzi za uhai wake
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment