serikali imetangaza matokeo ya uchaguzi wa srikali za mitaa na vijiji.jumla ya vijiji 9,047 na mitaa 3,078 vilifanyika uchaguzi kwa mafanikio ambapo CCM imeongoza katika uchaguzi huo baada ya kupata vijiji 7290 sawa na 80.58% na mitaa 2116 sawa na 68.7%. chama kikuu cha upizani CHADEMA kimefuata kwa kupata vijiji 1248 sawa na 13% na mitaa 753 sawa na 24.5%.CUF 382 Vijiji na mitaa 335 . NCCR MAGEUZI mitaa 8 kijiji 0. ACT chama kipya mitaa 9 vijiji 0. TLP mitaa 1 na vijiji 2. UDP vijiji 4.
mikoa ambayo uchaguzi umefanyika bila matatizo ya aina yoyote yale ni pamoja na arusha,lindi,mtwara ,Ruvuma ,Dodoma ,katavi ,kagera ,mbeya , singida na njombe.
No comments:
Post a Comment