Thursday, 18 December 2014
TUMBILI KAMFUKUZA MWIZI!!!???
Wednesday, 17 December 2014
UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA NA VIJIJI
serikali imetangaza matokeo ya uchaguzi wa srikali za mitaa na vijiji.jumla ya vijiji 9,047 na mitaa 3,078 vilifanyika uchaguzi kwa mafanikio ambapo CCM imeongoza katika uchaguzi huo baada ya kupata vijiji 7290 sawa na 80.58% na mitaa 2116 sawa na 68.7%. chama kikuu cha upizani CHADEMA kimefuata kwa kupata vijiji 1248 sawa na 13% na mitaa 753 sawa na 24.5%.CUF 382 Vijiji na mitaa 335 . NCCR MAGEUZI mitaa 8 kijiji 0. ACT chama kipya mitaa 9 vijiji 0. TLP mitaa 1 na vijiji 2. UDP vijiji 4.
mikoa ambayo uchaguzi umefanyika bila matatizo ya aina yoyote yale ni pamoja na arusha,lindi,mtwara ,Ruvuma ,Dodoma ,katavi ,kagera ,mbeya , singida na njombe.
mikoa ambayo uchaguzi umefanyika bila matatizo ya aina yoyote yale ni pamoja na arusha,lindi,mtwara ,Ruvuma ,Dodoma ,katavi ,kagera ,mbeya , singida na njombe.
mnenguaji wa bendi tofauti tofauti hapa jijini dar es salaam amefariki dunia na mwili wake umekutwa umehifadhiwa katika hospitali ya mwananyamala.akizungumzia kifo hicho meneja wa bendi ya twanga pepeta Asha Baraka amesema na yeye hajui nini kimetokea baada ya jana kuwasiliana naye vizuri na wala hakuonekana kuwa na tatizo lolote alipewa taarifa na daktari mmoja wapo wa hospitali ya mwananyamala ambaye alisema ameuona mwili kama wa Aisha madinda ukiingizwa mochwari ndipo alipomtuma luiza mbutu(mnenguaji mwenzie na Aisha madinda) akahakikishe wameuona mwili na wanajiandaa muendelezo wa mazishi. alazwe mahali pema peponi AISHA MADINDA tasnia itammiss kwa alikua bora kabisa Enzi za uhai wake
Aisha madinda katika picha Enzi za uhai wake.
Monday, 8 December 2014
YOUR WELCOME
nina furaha kuwa karibisha katika blog yunu hii mpya watu wa aina zote
wanafunzi wa vyuo na vijana kama itawahusu sana ninapenda kutumia nafasi hii pia kukaribisha maoni na ushauri wenu ili kuwa na kitu kizuri ambacho kitakua jukwaa letu vijana wote
WE'RE VERY GLAD YOU'RE HERE!!!!!!
Subscribe to:
Posts (Atom)