Maoni ya zitto zuberi kabwe juu ya jubadilishwa kwa wizara waziri MWAKYEMBE ametodautiana na mawazo na wananchi wengi wa TANZANIA ambao wanaamini kuwa waziri MWAKYEMBE alifanya kazi nzuri sana kwenye wizara ya uchukuzi wengine wanaamini MWAKYEMBE akiwazibia mianya ya rushwa na mianya ya dawa za kulevya uwanja wa ndege pamoja kuleta ahuen kwenye usafiri wa dar es salaam kwa kuleta treni jipya kwa ajili ya usafiri dar es salaam.
Sunday, 25 January 2015
Jua wazazi wanakufikiriaje na matumizi yako ya whatsapp, vijana tumetekwa na mambo ya magharibi kiasi kwamba hata walioabzisha baadhi ya vitu wabatushangaa hapa nimekutana na dokta mmoja mtaalamu wa mambo ya vijana dr. Kanoute shirima anasema "technolojia imekuja kuturahisishia maisha na ikija kufika 2030 mambo yatakuja kuwa marahisi sana kwa gharama ndogo mno ila tumeanza kuimiss use (kuitumia vibaya) hii teknolojia kiasi kwamba wazazi wanalalamika kuwa vijana wao wanaharibikiwa kwa sababu ya technology advancement (kukua kwa teknolojia) kumbe sivyo tunatakiwa tutumie teknolojia kutusaidia kutafuta hela kutangaza bushara zetu, kutafuta majibu kwenye masomo yetu na assaignment za shule na chuo" akamalizia hapo
Lov3
http://wnq-writers.com/post/109061747405/quotes-creative-writing-wordsnquotes
Saturday, 24 January 2015
bar
Rais Jakaya kikwete wa Tanzania ametangaza mabadiliko katika baraza lake la mawaziri.
Rais amewateua mawaziri wanane wapya pamoja na manaibu watano.
Tangazo hilo lilifanywa na katibu katika ikulu ya rais balozi Ombeni Sefue.
Mabadiliko hayo yanajumuisha wadhfa wa waziri wa nishati na kawi wa Profesa Muhongo ambaye amejiuzulu mapema leo pamoja na wadhfa wa waziri wa ardhi ambao uliwachwa wazi baada ya kupigwa kalamu kwa Anna Tibaijuka.
Mawaziri hao wawili wanahusishwa na kashfa ya ufisadi ambayo ilimshinikiza mwanasheria mkuu pia kujiuzulu.Nafasi ya Profesa Muhongo imechukuliwa na aliyekuwa naibu wa waziri wa ardhi, George Simbachawene
Rais Kikwete amewaapisha mawaziri hao wapya hii leo katika tangazo lililorushwa hewani na runinga ya taifa moja kwa moja.
Hii ndio orodha ya mawaziri walioteuliwa
MAWAZIRI
George Simachawene waziri wa nishati na madini
Mary Nagu- waziri wa nchi [afisi ya rais] mahusiano na uratibu
Christopher chiza -waziri uwezeshaji na uwekezaji
Harisson Mwakyembe[waziri wa ushirikiano wa afrika mashariki]
William Lukuvi -waziri wa ardhi nyumba na makaazi
Steven Wasira -waziri wa kilimo chakula na ushirika
Samwel Sita -waziri wa uchukuzi
Jenista Muhagama -waziri wa nchi ofisi ya waziri mkuu sera uratibu na bunge
MANAIBU WAZIRI
Stephen Masele -naibu waziri afisi ya makamu wa rais muungano
Angela Kariuki -naibu waziri wa ardhi nyumba na makaazi
Ummi Mwalimu- naibu waziri wa katiba na sheria
Anna Kilango naibu waziri wa elimu na mafunzo ya kiufundi
Charles Mwijage-naibu waziri wa nishati na madini
BARAZA LA MAWAZIRI LAPANGULIWA TENA

Subscribe to:
Posts (Atom)