Sunday, 25 January 2015

WHATSAPP

Jua wazazi wanakufikiriaje na matumizi yako ya whatsapp, vijana tumetekwa na mambo ya magharibi kiasi kwamba hata walioabzisha baadhi ya vitu wabatushangaa hapa nimekutana na dokta mmoja mtaalamu wa mambo ya vijana dr. Kanoute shirima anasema  "technolojia imekuja kuturahisishia maisha na ikija kufika 2030 mambo yatakuja kuwa marahisi sana kwa gharama ndogo mno ila tumeanza kuimiss use (kuitumia vibaya) hii teknolojia kiasi kwamba wazazi wanalalamika kuwa vijana wao wanaharibikiwa kwa sababu ya technology advancement (kukua kwa teknolojia) kumbe sivyo tunatakiwa tutumie teknolojia kutusaidia kutafuta hela kutangaza bushara zetu, kutafuta majibu kwenye masomo yetu na assaignment za shule na chuo" akamalizia hapo

No comments:

Post a Comment